• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2018/2019
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Kupata Kibali cha kusafirisha mazao ya Misitu

Hatua muhimu za kupata Kibali cha kusafirisha mazao ya Misitu 

  • Kwanza kabisa, Tambua kuwa Kibali cha kusafirisha mazao ya misitu kinatolewa na Wakala wa Misitu Tanzania TFS(Tanzania Forest Service)
  • Pili, Mteja aliye ndani ya Wilaya ya Siha anatakiwa kuandika barua ya kuomba kibali Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Siha, na barua hiyo inatakiwa kupitia kwa Mtendaji wako wa Kijiji ili Mtendaji huyo athibitishe ombi lako. Pia barua ya maombi lazima iambatanishwe na kibali cha Mteja alichopewa kuvuna zao la misitu husika.
  • Tatu,Wataalam wa Misitu Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji watatembelea na kufanya ukaguzi ili kujiridhisha kuhusu zao la misitu linalotakiwa kuvunwa.
  • Nne, Wataalam wakiridhika na ombi la Mteja,basi mteja atalazimika kulipia ushuru wa asilimia 5 ya bei ya kununua au kuuza,ushuru huu utalipwa kwa halmashauri ya Siha na Mteja anatakiwa kupatiwa Risiti
  • Baada ya Mteja kufanya malipo ya Ushuru kwa Halmashauri ,kibali cha kusafirisha zao la misitu kitatolewa kutoka TFS.
  • Kibali kitakachotolewa kitatumika ndani ya Siku tatu tu,tangu tarehe ya kutolewa. Mteja anashauriwa kutoa taarifa ofisi aliyopata kibali au ofisi ya karibu iwapo atapata tatizo la kukwamisha kusafirisha mzigo wake kwa muda uliowekwa ili kupata msaada zaidi.
  • Iwapo Mteja hajatoa taarifa yoyote ndani ya siku tatu, kibali hicho kitakuwa hakitumiki tena na mteja huyo atalazimika kuomba tena kibali kingine.

Matangazo

  • TANGAZO LA VIBALI VYA UJENZI SIHA January 22, 2021
  • TANGAZO VIWANJA SIHA 2021 January 21, 2021
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA fEBRUARI,2021 March 11, 2021
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA BARAZA LA WAH. MADIWANI H.W SIHA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA(JULAI HADI SEPTEMBA 2017) November 24, 2017
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Vijiji 24 Siha vyaendelea kunufaika na TASAF III

    April 12, 2021
  • Mil.40.5 kutolewa wanufaika wa TASAF Wilaya ya Siha

    April 13, 2021
  • Jengo la makao makuu ya Halmashauri kukamilika kwa Mil.650

    March 16, 2021
  • Siha yasajili shule 4 za Serikali

    March 08, 2021
  • Ona Zote

Video

Buriani Hayati Dkt. John Pombe Magufuli 1959-2021
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Sanya Juu-Siha Kilimanjaro

    sanduku la Posta: S.L.P 129 Sanya Juu

    simu: 027-2970677

    Mobile: 0622643108

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.