• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPATO NA MATUMIZI KIPINDI ROBO YA PILI MWAKA WA FEDHA 2017/2018

07 February 2018

OFISI YA RAIS TAMISEMI

HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPATO NA MATUMIZI KIPINDI CHA ROBO YA PILI (OKTOBA HADI DESEMBA 2017) MWAKA WA FEDHA 2017/2018

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Siha anapenda kuutangazia Umma kuwa katika kipindi cha Robo ya Pili (Oktoba hadi Desemba 2017) kwa  mwaka wa Fedha 2017/2018, Mapato na Matumizi ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha ni kama ifuatavyo:-

 MAPATO

Makusanyo ya Mapato ya Ndani ……………………………….Tsh. 208,533,663.40

Ruzuku ya Kawaida kutoka Serikali Kuu ………….. …………….Tsh. 256,714,000.00

Mishara ya Watumishi kutoka Serikali Kuu……………………….Tsh.2,822,999,000.00

Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo kutoka Serikali Kuu…… ……….Tsh.311,702,486.67

 Jumla kuu Mapato………………………………………….Tsh.3,599,949,150.07

 MATUMIZI

kutoka mapato ya Ndani ya Halmashauri …………………Tsh. 220,618,515.35

Ruzuku ya Kawaida kutoka Serikali Kuu……………….……..Tsh.110,657,637.75

Ruzuku ya Mishahara Watumishi kutoka Serikali Kuu……….Tsh.2,822,999,000.00

Miradi ya Maendeleo kutoka Serikali Kuu ……………………Tsh. 385,107,734.00

 Jumla Kuu Matumizi…………………………………..Tsh. 3,539,382,887.10

Katika mwaka wa Fedha 2017/2018 Halmashauri ya Wilaya ya Siha imekisia kukusanya na kupokea kiasi cha Tsh 29,203,439,201.25 kutoka vyanzo mbalimbali vya Mapato ya Ndani,Ruzuku toka Serikali Kuu na Wahisani kwa ajili ya utekelezaji Miradi ya Maendeleo,Matumizi ya Kawaida na Mishahara ya Watumishi.

Imetolewa na :-

Zakayo Elifaison

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano (W) Siha

07 Februari,2017

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA DC JUNI 2025 June 10, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia apokea ujumbe kutoka Congo Brazzaville

    July 08, 2025
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA 2025 SHULE ZA WILAYA YA SIHA

    July 08, 2025
  • Vijana Siha wapewa kongole na kiongozi wa Mwenge Kitaifa

    July 03, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapokelewa kwa KISHINDO Siha

    July 03, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.